"Nyumbani abaki mwenye kumbukumbu" - Simbachawene

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu George Simbachawene, ametoa rai kwa wananchi kujiandaa kwa zoezi la sensa ya watu na makazi kwa kuwa na kumbukumbu ya taarifa  za watu waliolala katika makazi yako usiku wa kuamkia Oktoba 23, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS