CCM yakoleza moto wa katiba mpya
Chama cha Mpinduzi (CCM), kimesema kwamba ajenda ya kupata katiba mpya sio ngeni, bali ni mchakato endelevu na kwamba sasa ni wakati mwafaka wa kuipata ndiyo maana kimeitaka serikali kuja na namna bora ya kufufua mchakato huo.