Mkutano wa 65 wa Shirika la Utalii Duniani UNWTO Tanzania inatarajia kunufaika na fursa mbalimbali zitakazotokana na Mkutano wa 65 wa Shirika la Utalii Duniani UNWTO – CAF utakaofanyika jijini Arusha kuanzia Oktoba 5 hadi 7, 2022. Read more about Mkutano wa 65 wa Shirika la Utalii Duniani UNWTO