Rekodi mpya ya mashabiki yawekwa Ulaya
Mchezo wa ufunguzi wa michuano ya soka ya mataifa barani Ulaya ya wanawake katia ya timu ya taifa ya England na Austria umeweka rekodi ya kuhudhuriwa na watazamaji wengi katika historia ya michuano hiyo. Jumla ya mashabiki 68,871 wamehudhuria mchezo huu katika dimba la OLD Traford.