Afande Sele uso kwa uso na Mzee wa Upako Picha ya Afande Sele na Mzee wa Upako Msanii Afande Sele amesema kazi zake ndio zimefanya kukutana na Mchungaji Antony Lusekelo (Mzee wa Upako) kwa sababu kazi zake zina maana kwenye jamii, ushawishi na vinaishi. Read more about Afande Sele uso kwa uso na Mzee wa Upako