Azam yatambulisha kifaa cha Ruvu Shooting

Beki wa kulia wa Ruvu Shooting, Nathaniel Chilambo.

Klabu ya Azam imeendelea kukisuka kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao baada ya hii leo kumtambulisha aliyekuwa beki wa kulia wa Ruvu Shooting, Nathaniel Chilambo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS