Mwaitenda azindua ilani ya miaka 8 Yanga
Kampeni za uchaguzi wa klabu ya Yanga zimeingia siku ya tatu leo na kushuhudia mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais Suma Mwaitenda akizindua ilani yake ya miaka 8 na kuomba kura kwa wanachama wa klabu ya yanga kwenye makao makuu ya klabu hiyo Jangwani.