Vijana 21 waliofariki Afrika kusini wazikwa pamoja Yamefanyika maziko ya pamoja ya vijana 21 waliopoteza maisha kwenye klabu moja ya usiku nchini Afrika Kusini wiki iliyopita, huku sababu ya vifo vyao ikiendelea kuchunguzwa. Read more about Vijana 21 waliofariki Afrika kusini wazikwa pamoja