Hii ndiyo wilaya yenye Bei kubwa ya Mafuta
Licha ya serikali kutoa ruzuku ya Sh bilioni 100 ili kupunguza bei ya mafuta nchini Tanzania wakati bei ya soko la dunia ilipopanda, bei za rejareja za mafuta nchini hapa zimepanda tena, ambapo Wilaya yenye gharama kubwa zaidi ya mafuta nchini Tanzania ni Kyerwa