"Video ya Moyo nimeshoot kwa Tsh Elfu 30" - Mbosso

Picha ya msanii Mbosso

Wakati wengine wakitangaza gharama kubwa walizotumia kwenye kuandaa video zao, msanii wa lebo ya WCB Mbosso ameweka wazi kuwa asilimia 100 ya video ya ngoma yake ya moyo tayari imekamilika na ametumia Tsh Elfu 30 tu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS