Baba ashiriki kumtorosha house girl
Mtoto wa kike (5) mkazi wa Soga wilayani Kibaha mkoani Pwani ambaye jina lake limehifadhiwa, amejeruhiwa vibaya na mfanyakaz wa ndani aliyejuljkana kama Rehema baada ya kumwagiwa mafuta ya moto sehemu mbalimbal za mwili wake na kisha mtuhumiwa huyo kutoroka kusikojulikana.