Polisi wazungumzia waliokamatwa kwa Gwajima
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amesema Jeshi hilo limeanza kutekeleza sheria na kuhakikisha kuwa shughuli zilizokuwa zikifanyika katika Kanisa la Askofu Gwajima haziendelei kutokana na agizo la kusimamisha shughuli za kanisa hilo lililotolewa na Msajili