Ajira zaidi ya 40,000 kutolewa
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana, amesema mradi wa kuboresha usimamizi wa maliasili na kukuza utalii Kusini mwa Tanzania unatarajiwa kutoa ajira zaidi ya 40,000 kwa wakulima na wananchi wanaoishi kando kando ya hifadhi za Taifa.