Tembo wavunja nyumba 5 na kuua Ng'ombe Simiyu Moja ya nyumba ambazo zimebomolewa na Tembo Tembo wamevamia na kuvunja nyumba tano katika Kijiji cha Ming'ongwa, Kata ya Sakasaka, wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, leo Julai 2, 2022. Read more about Tembo wavunja nyumba 5 na kuua Ng'ombe Simiyu