"Nje nakwenda kutafuta fedha" - Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba wenye akili za kawaida wamekuwa wakilaumu yeye kwenda nje ya nchi badala ya kufanya ziara mikoani, na kusema anapoenda nje ya nchi huenda kutafuta fedha za maendeleo.