Rais Samia hataki mzaha na fedha za umma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan iko makini na haitaki mzaha katika matumizi ya fedha za umma zinazoidhinishwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.