Watano wafa ajalini Simiyu Watu watano wamefariki Dunia na wengine watano wamejeruhiwa katika ajali ya gari dogo, iliyotokea eneo la Lugulu Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu. Read more about Watano wafa ajalini Simiyu