''Mayele hauzwi kwa gharama yoyote'' Senzo

Straika wa Yanga Fiston Mayele

Uongozi wa Klabu ya Yanga umethibitisha kuwa nyota wake Fiston Mayele hawezi kuondoka klabuni hapo kwasababu bado ana mkabata mrefu na Mabingwa hao wa Ligi Kuu NBC Tanzania msimu huu wa mwaka 2021-2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS