Tupo tayari kwa Mbeya Kwanza kesho

Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola,

Kaimu Kocha Mkuu Seleman Matola, amesema kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa kufungia msimu dhidi ya Mbeya Kwanza utakaopigwa kesho saa 10 jioni Uwanja wa Majimaji mjini Songea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS