IGP Sirro awaasa askari Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaasa wanafunzi wa kozi ya awali ya askari Polisi kuendelea kuheshimu nafasi waliyopewa na serikali kuhudhuria mafunzo ya awali ikiwa ni sehemu ya ajira ya kulinda maisha ya watu na mali zao