Ukame waathiri upatikanaji wa mazao
Wafanyabiashara wa nafaka katika soko la Tandale Dar es Salaam wamesema hali ya bei za nafaka itazidi kupanda juu kutokana na ukame kwa baadhi ya mikoa inayolima mazao ya nafaka ikiwemo Michele, Maharage na mahindi.