"Ifikie wakati kumiliki Ndege isiwe anasa"- Mdee Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee, amesema kwamba ifikie hatua Watanzania waache kufikiria kimaskini jambo ambalo litawafanya waone kwamba mtu kumiliki Ndege isiwe anasa. Read more about "Ifikie wakati kumiliki Ndege isiwe anasa"- Mdee