"Nilimtumia Harmonize ngoma 30" - Marioo Upande wa kushoto ni Marioo, kulia ni Harmonize Marioo Toto Bad ametuambia kabla haijatoka ngoma yake ya naogopa alimtumia Harmonzie nyimbo kama 30 kisha akachagua waanze na hiyo. Read more about "Nilimtumia Harmonize ngoma 30" - Marioo