Serikali kujenga kampasi zingine za Chuo cha MUHAS

Naibu Waziri wa Elimu Dkt. Omary Kipanga

Naibu Waziri wa Elimu Dkt. Omary Kipanga, amesema kwamba kutokana na kwamba mazingira ya Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS), kuwa madogo na yaliyobana, serikali imejipanga kujenga kampasi zingine za vyuo hivyo katika eneo la Mloganzila, mkoani Kigoma na Mbeya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS