Watu sita wafariki kwa ajali Tabora
Watu sita na wanne kati yao ni wa familia moja wamefariki dunia kwa ajali ya gari ndogo katika eneo la Inala mkoani Tabora, wakati wakitokea Dar es Salaam kuelekea wilaya ya Urambo Tabora katika mazishi ya Mama mzazi wa mmoja wa marehemu hao.