Waziri mkuu mgeni rasmi tamasha la utamaduni
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi kwenye Tamasha la kwanza la kihistoria la Utamaduni kitaifa Julai 2, 2022 Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.