Majeruhi 6 wa Treni wahamishiwa Bugando
Majeruhi 6 kati ya 132 wa ajali ya Treni iliyotokea jana Juni 22, 2022, katika eneo la Malolo mkoani Tabora na kusababisha vifo vya watu wanne wamesafirishwa kwa rufaa kutoka Hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete kwenda Bugando kwa ajili ya matibabu zaidi.