Thamani ya miamala ya simu yapanda na kufikia 66% Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa thamani ya miamala ya simu katika pato la Taifa (GDP) imepanda kutoka asilimia 40 kwa mwaka 2013 hadi asilimia 66 kwa mwaka 2021. Read more about Thamani ya miamala ya simu yapanda na kufikia 66%