Onyango asaini miwili Simba Beki wa kimataifa wa Kenya, Joash Onyango . Beki wa kimataifa wa Kenya, Joash Onyango ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia katika klabu hiyo ya Simba SC baada mkataba wake wa awali kumalizika mwisho wa msimu huu. Read more about Onyango asaini miwili Simba