Wanne wafariki kwenye ajali ya Treni Tabora Mabehewa sita ya Treni ya abiria iliyokuwa ikitoka Mkoa wa Kigoma kuelekea Mkoani Tabora mpaka Dar es salaam yameanguka katika eneo la Kata ya Malolo iliyopo katika manispaa ya Tabora Read more about Wanne wafariki kwenye ajali ya Treni Tabora