Murray apambana kuiwahi michuano ya Wimbledon
Nyota wa Tennis Andy Murray anaedelea na maandalizi ili ajiweke fiti kucheza michuano ya Wimbledon kutokana na kusumbuliwa na jeraha la tumbo lilimfanya ajiondoe katika mashindano ya Queen wiki iliyopita.