Baba arudia darasa la tatu shuleni Picha ya mzazi huyo akiwa na mtoto wake Hii ndiyo maana halisi ya elimu haina mwisho, Baba mmoja wa miaka 32 Joel Majok raia wa Sudan amezua gumzo baada ya kurudia kusoma darasa la tatu ambapo kwa sasa anasoma shule moja na mwanaye wa miaka 8. Read more about Baba arudia darasa la tatu shuleni