Dully Sykes afunguka kulala chini kwa miaka 14 Picha ya msanii Dully Sykes Brotherman wa Bongoflava Dully Sykes amejibu kuhusishwa na imani za kishirikina baada ya kusema analala chini kwa kusema hizo ni imani za kimaskini kwa wanaofikiria ni uchawi. Read more about Dully Sykes afunguka kulala chini kwa miaka 14