Mzee akataliwa kijijini, akidaiwa kupora mashamba

Mzee Gerhad Makinda

Wananchi wa Kijiji cha Yakobi, Halmashauri ya Mji wa Njombe wamemkataa mwananchi mwenzao aliyefahamika kwa jina la mzee Gerhad Makinda kuishi kijijini hapo kutokana na tabia yake ya kupora mashamba kwa wananchi wenzie na kuwatolea lugha mbaya pindi wanapomhoji juu ya kufanya vitendo hivyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS