Wananchi wachangamkia fursa biashara ya Upupu
Mfanyabiashara mmoja mkoani Katavi ameshangaza wengi baada ya kujitokeza mtaani na kutangaza kununua mbegu za Upupu kwa shilingi 12,000 kwa kilio moja, jambo ambalo limefanya wananchi wa mkoa huo kuingia porini kusaka zao hilo linalojulikana kwa machungu yake ya kuwasha.