Irene Uwoya atangaza kuolewa kwa mara nyingine Picha ya Irene Uwoya Staa wa filamu Irene Uwoya ametangaza kuolewa tena kabla ya mwaka huu 2022 kuisha kwa sababu yupo kwenye mahusiano mazito. Read more about Irene Uwoya atangaza kuolewa kwa mara nyingine