KITM wametimiza ahadi yao kwa mtoto wa kike
Katika kuunga mkono kampeni ya Namthamini na kuhakikisha mtoto wa kike hakosi masomo kwa kukosa taulo za kike, wadau wetu chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology and Management (KITM) leo walituletea mchango wa taulo za kike pakiti 128.