Dkt. Mpango akagua ujenzi wa daraja la Nyeburu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewaasa wakandarasi wazawa kutumia vema na kwa ufanisi fursa wanazopewa na serikali za ujenzi wa miradi mbalimbali ili kuendelea kupewa nafasi hizo zaidi.