Ndoto yangu imetimia-Phiri Straika wa Simba Moses Phiri Nyota mpya wa klabu ya Simba Moses Phiri, amefunguka kuwa ndoto yake imetimia baada ya kufanikiwa kutua katika kikosi na kusaini mkataba wa miaka miwili. Read more about Ndoto yangu imetimia-Phiri