Yanga yajiondoa shindano la nani zaidi Msemaji wa Yanga Haji Manara Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha kuwaandikia barua waandaji wa shindano la Nani Zaidi, kujiondoa rasmi kwenye shindano hilo linalohusisha mashabiki wa vilabu vya Simba na Yanga kuchangia vilabu vyao. Read more about Yanga yajiondoa shindano la nani zaidi