Kane amkingia kifua Southgate kipigo cha Hungary
Nahodha wa Engaland Harry Kane amemkingia kifua kwa kumtetea kocha mkuu wa timu hiyo Gareth Southgate kwa kusema kocha huyo ndiye mtu sahihi wa kuinoa England na watu hawapaswi kuwa na shaka nae hata kama England kufungwa 4-0 dhidi ya Hungary.