Mama asimulia alivyokuta mtoto wake ameuawa Geita Nkeya Thomas mtoto wa miaka miwili mkazi wa Kijiji cha Nyamigogwa kata ya Shabaka wilayani Nyanghwale mkoani Geita ameuwawa kikatili kwa kukatwa shingo na watu wasiojulikana. Read more about Mama asimulia alivyokuta mtoto wake ameuawa Geita