"Nimeibeba mgongoni bendera ya Zanzibar" - Nedy Picha ya Rayvanny Huwezi kuicha kuitaja Zanzibar bila kumtaja Nedy Music 'Mpemba Mmoja' ambaye anasema ameipeperusha vyema na kuibeba mgongoni bendera ya Zanzibar kwenye ramani ya mziki. Read more about "Nimeibeba mgongoni bendera ya Zanzibar" - Nedy