Harmorapa apewa gari la Milioni 300 na tajiri wake
Picha ya Harmorapa akiwa na gari hilo alilopewa
Ni Headlines za msanii Harmorapa ambaye amefunguka kupewa gari mpya aina la Lexus yenye thamani ya Tsh Milioni 300 na tajiri yake siku za hivi karibuni.