Simba yaanza ujenzi wa Mo Simba Arena
Afisa mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa leo wameongozana na msanifu majengo (architect) kwa ajili ya kutembelea eneo la Bunju ili kukagua mipaka na eneo ambalo litatumika kwenye ujenzi kabla ya Ijumaa Bodi ya Wakurugenzi Simba kukutana