"Bajeti itakuwa imebeba matumaini " - Dkt Nchemba

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kwamba hotuba ya bajeti kuu ya serikali atakayoisoma hii leo itakuwa imebeba matumaini ya Watanzania na kuwaomba muda ukifika waifuatilie.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS