Wamiliki wa magari yaliyoua Iringa wanatafutwa
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini Wilbroad Mutafungwa, amesema wanaendelea kumtafauta mmiliki wa basi ndogo aina ya Costa pamoja na mmiliki wa lori aina ya Scania yaliyosababisha ajali na kuuwa watu 20 katika eneo la changarawe mjini Mafinga mkoani Iringa.