Worriors wanahitaji ushindi katika mchezo 1 kutangazwa mabingwa wa NBA msimu huu
Timu ya Golden State Worriors imeshinda mchezo wa 5 (game 5) wa fainali ya Ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA uliochezwa leo Alfajiri. Golden State wameifunga Boston Celtics kwa alama 104 kwa 94.