"Sensa hatujaweka majina ya watoto wetu"- Makinda

Kamisaa wa Sensa, Anna Makinda

Kamisaa wa Sensa Anna Makinda, amesema baadhi ya Watanzania wanapenda uongo kutokana na maneno ya uzushi yanayozagaa mitandaoni kwamba majina ya wasimamizi wa sensa hayatoki kwa sababu wameweka watoto wao, na kusema majina yakitoka waombaji wote wenye sifa watachukuliwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS