Harmonize vs Alikiba uwanja wa taifa
Rais wa Kondegang, Harmonize ametangaza kushiriki mechi ya hisani ya SAMAKIBA inayokutanisha timu ya nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta na mwanamziki Alikiba kwa ajili ya kukusanya fedha za kusaidia watu wenye uhitaji katika jamii.